October 20, 2025

Ugonjwa wa PID

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini? Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).